Nilikuwa nikivutika sana na mawazo pamoja na mitazamo ya wadau kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa pamoja na ya kijamii,hivyo nikaona ni vyema nami niwe miongoni mwa watu wanaotoa elimu kwa jamii...
Ndugu zangu nawasalimia katika jina la bwana kwa wale ndugu zangu wakristo,Asalaam alaykum ndugu zangu waislamu nimara yangu yakwanza kuingia humu nimeamua kutumia salamu zote hizo kwa lengu...
Nimefurahi kupata wasaa wakujitambulisha kwenu wana JF, kama lilivyo jina langu mimi ni kamsweetie mpaka tabia, nategema kujifunza mengi kutokana kwenu na vile vile kujuzana mambo muhimu katika...
VIJANA ni nguvu kazi ya taifa,
Kwa pamoja tujenge Tanzania imara kiuchumi kwa kuwekeza kwenye nguvu kazi ya VIJANA kama rasilimali kuu ya kujenga uchumi unaojitegemea.
Ninayo furaha kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili. Niko tayari kujifunza kutoka kwenu na kuwajuza ninayo yafahamu hasa yenye lengo la kutupanua kifikra.
Habari wandugu nimekuwa nikivinjari JF kwa muda mrefu ss, nimeona ni utoto kuendelea kuvinjari jmvini pasipo kujiunga na wanafamilia,leo najitambulisha rasmi kwenu naomba mnipokee kwa mikono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.