napenda kuwasalimu woote mliopo kwenye jamvi hili.me nilikuwa msomaji tu wa mambo mbali mbali umu jamvin na nimefaidika sana lkn nikasema hivi kwann nijiunge kabisa ndo nimejiunga tafadhali naomba...
Hello JF! Nafurahi kuwa mwanachama, Natumai sijachelewa sana, tutakuwa pamoja from now on..
Tushirikiane pasipo kujali itikadi zetu iwe za siasa, dini, rangi, kabila & so fifth!
Ahsanteni...
nimefurahi na kupata upeo fulani toka kwa wana JF Kuhusiana na hii mikopo.lakini upande wa mahakama inaishia hukohuko juu kwa juu.nivema serikali ingetoa hiyo mikopo kwa vote au idara na kila mkoa...
Hiyo namba ya kupata taarifa kwa njia ya sms ni huduma ya bure au unalipia kwa kila habari??? na ni kiasi gani kwa kila habari unayopokea???? kama ilapia??
Hodi humu ndani, kabla hata sijakaa, naomba tuzingatie mafundisho ya dini zetu, na kama dini zetu zinatufundisha kwenda kumfuata mungu wa kweli, basi naamini dini zinahubiri Mungu mpenda amani na...