kwa jinsi anavyo endesha harakati zake, inawezekana kabisa kuna watu wapo nyuma yake, wanampa sapoti, wana JF hebu tujuzane, ni nani anaye mpa jeuri huyu she ponda?
hata suala la harakati za sheikh ponda na uamsho kule znz tunaambiwa eti freemasons wanahusika,.. Magazeti ya udaku ya bongo ni laana taanza kuandika habari zenye...
ni furaha kubwa nilio nayo ku-join na nyinyi hapa jamvini...naomba kupokelewa.Nadhani sina haja ya kutoa CV yangu hagdharani, day goes tutajuana vizuri..hodi hodi!!!!!!!!
Hello members wa JF. Nimekuwa mtazamaji wa hoja mbalimbali kwenye hili jukwaa kwa mrefu na nimevutiwa sana na mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili nijumuike...
Kwa Waislam "Asalam Alaykum" Wakristu "Praise the Lord" Wapagan mpoooo?? Jamani mie ni mgeni humu ndani, Kwanza mnisamehe, kabla ya kujiunga Jf, nlikuaga nasoma Post zenu bureburee...! Pili...