Asili ni asili. Hapo zamani kulikua hakuna Hospitali. Lakini kina mama wengi walijifungua bila operations. Lakini leo vipimo kibao lakini operation kila kona. Mfano sisi tumezaliwa 13 na mama yetu...
Ninayofura tele kujumuika nanyi humu jamvini kikubwa ninachotaka kwenu ni ushirikiana nanyi ili kudhihirisha jf is great thinker, asenteni and love you all