jaman mi japo si mgeni saaana ila ckupita jukwaa hili bana asalaam alekhum wakuu kuna umuhim wakupita maana si vizuri kuruka stage na asante kwa kupitia hapa
Jamani tumevamiwa humu na vilaza hivi huyu nani kamleta? Sasa hiki ndo nini hivi umeushirikisha ubongo wako wakati unapost? MA..SA,BURI ni kwa kazi ya kukalia sio kufikiri.
Kama unatafuta story au script writer mwenye uwezo wa kuteka hisia na kuleta msisimuko katika filamu/tamthilia/video/tv show/ yako kwa kupangilia matukio na wachezaji,nipo sasa kufanya mapinduzi...
mmmmmh napenda kuwasalimu wanajamii wote wakubwa na wadogo,am a new comer hope will b 2gether,
mi napatkana dar pande za kimara,but muda mwingi nakua dodoma kishule zaidi,niwatakie cku...
Mara nyingi kuna mada huwa natamani sana kuchangia ktk majukwaa tofauti2 lkn nilikuwa nashindwa,sasa nafikiri mambo yashakuwa mambo au siyo wakuu?????????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.