Probe(Rover) hii itahusika sana kwenye Tech, gadgets n Science forum! I will share with you everything I have got concerning technology! Feeling like am at home.
Poleni na majukumu?
Kuku mgeni kaingia mjni ila msinifunge kamba,lyf la hapa linaonekana litam,THIS IS THE BEST PLACE TO BE
naomba mnipokee,nikitaka kupata notification nafanyaje?
Yule ni liye zaliwa kwa makusudi alaf anaish kwa bahat mbaya nami nimo kurepresent majembe yote ya walabata ent. Dumila town usiguse huu umeme ni high voltage a.k.a hauguswi au pimwi
ndugu zanguni hivi hili suala la malawi tunalichukuliaje maana me naona kama litakuja leta balaa maana mama kama amekuwa mgumu kulializi hivi hebu ndugu zanguni tulitupie hili suala hekima nyingi...
Nawasalimuni sana wapendwa waungwa wanzangu.
Nimekuwa mtu wakusoma juu juu tu hii JF, nikatamani sana nami niwe mndani wa page hii ya Jf. Naomba mnipokee ndugu zanguni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.