Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi
Hivi kesi ya msingi ni ipi? mpaka tusijadili ili swala? me nadhani majadiliano hayatakiwi kuathiri mwenendo wa shauri lililoko mahakamani ila kujadili kuteswa na kutekwa kwa dk ulimboka ni swala...