Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jaman Habari zenyu banaaa wana JF??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtaalamu wa Jogorafia humu anijuze wajameni. Wabheja sana
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Helow, you hear me........ Thanks pombekali maana hizi lugha za watu tunazing'ang'ania na maulimi yamebaki vipisi kwakujing'ata lakini tumo tu
0 Reactions
8 Replies
871 Views
Wajamen wana Jf,ninayofuraha kujiunga katika dimbwi hili la manewz na madiscusion mbalimbali! Akhsante
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ninajisikia bahati kuwa hapa pamoja nanyi tukisaidiana kuipigisha dunia hatua moja mbele zaidi. Hongereni kwa kazi kubwa na tafadhali nipokeeni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
glad to have joined the JF community. :cheer2:
0 Reactions
9 Replies
781 Views
Naamini mna mengi ya hekima, nipo tayari kujifunza. Nami kuchangia nilichonacho, naamini tutajenga nyumba imara! Mimi ni mgeni wenu. Hodi!
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Habari zenu jamani,nipokeeni mi mgeni humu.
0 Reactions
8 Replies
961 Views
Nipokeeni wapendwa tujenge mawazo zaidi.
0 Reactions
7 Replies
946 Views
...
0 Reactions
8 Replies
922 Views
Katika pitapita zangu nimekutana na usajili wa CDM online by lutayega, nimevutwa sana na swaga za makamanda wa CDM kupitia JF, Ujio wangu nadhani itakuwa pigo kwa tume ya katiba na w.malecela na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani hamjambo? Mimi ni mzee wa kijiwe naomba kuingia mjini kama ifuatavyo!!!!!!!!!
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hodi hodi humu jamvini
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Hii members jamiiforums
0 Reactions
10 Replies
2K Views
naombeni mashirikiano yenu mabibi na mabwana
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hello dear distinguished official, ladies and gentellman, kwa mara ya kwanza najitokeza katika jamii forum ili niweze kuwa na nyinyia katika kutoa michango thabit itakayoleta manufaa kwa Taifa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hi
hi, im new here
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jamani nipokeeni mgeni wenu kwa muda mrefu nilikuwa mfuatiliaji tu wa mambo kadha wa kadha yaliyokuwa yanazungumziwa humu JF nadhani sasa wakati muafaka kuingia na mimi nitoe mchango kwa...
0 Reactions
8 Replies
925 Views
Shikamooni nyote!!!
0 Reactions
8 Replies
970 Views
HI
PROBLEMS OF OUR ADMINISTRATION IN FACING THE ADMINISTERED This easy pays attention on events that led to social political and economic environment into which our peasant farmer finds himself...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom