Habari wanajamvi,
Ninajisikia bahati kuwa hapa pamoja nanyi tukisaidiana kuipigisha dunia hatua moja mbele zaidi.
Hongereni kwa kazi kubwa na tafadhali nipokeeni.
Katika pitapita zangu nimekutana na usajili wa CDM online by lutayega,
nimevutwa sana na swaga za makamanda wa CDM kupitia JF,
Ujio wangu nadhani itakuwa pigo kwa tume ya katiba na w.malecela
na...
hello dear distinguished official, ladies and gentellman, kwa mara ya kwanza najitokeza katika jamii forum ili niweze kuwa na nyinyia katika kutoa michango thabit itakayoleta manufaa kwa Taifa...
jamani nipokeeni mgeni wenu kwa muda mrefu nilikuwa mfuatiliaji tu wa mambo kadha wa kadha yaliyokuwa yanazungumziwa humu JF nadhani sasa wakati muafaka kuingia na mimi nitoe mchango kwa...
PROBLEMS OF OUR ADMINISTRATION IN FACING THE ADMINISTERED
This easy pays attention on events that led to social political and economic environment into which our peasant farmer finds himself...