Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hi
Habari wanajamii,nami nimefurahi kuwa miongoni mwa wanachama wa jamiiforum,asante
0 Reactions
7 Replies
935 Views
:smiling: mimi Abuarafat ndiyo kwanza najiunga nanyi
0 Reactions
5 Replies
695 Views
yap! jembe kazin. Nafurah kuwa mmoja wa jamii hii. ni matumaini yangu nitapata ma ideas ya kutosha kutoka kwenu waungwana. Tujumuike pamoja.
0 Reactions
3 Replies
776 Views
MI i new user i need ur support wadau
0 Reactions
3 Replies
696 Views
Ni mgeni jukwaani,lakini mwenyeji wa hoja nzuri zenye kujenga za wana-jf nimeigia rasmi baada ya kuwa msomaji wana-jf wa kawaida.THENKYUNI
0 Reactions
3 Replies
678 Views
NAOMBA TUWE PAMOJA KATIKA HII JAMII.:israel:
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Wakuu kwanza samahanini maana nimeingia ndani bila kupitia hapa kwa kukabidhi kadi ya mwaliko. Baada ya hapo nawaomba mnipokee kwa mikono yote.
0 Reactions
6 Replies
953 Views
Nawasalimu wanajamiiforums wote. Naomba kukaribishwa kuwa mwananchama.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nashukuru kujiunga leo na JF
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Hi friends................. This is caileanacain a Student. I am huge fan of TV shows . For me TV show is the best source of entertainment, Mine favourite TV show is Weeds.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakushukuriwa ni mungu .
0 Reactions
6 Replies
850 Views
dah sijuwi nianze na nini duh?? ok nianze na salam ya kinyumbani khee watanielewa kweli?? ok ngoja nijaribu mwngaluka abamayu na bababa?? laa sijuwi wamenisiki na kunielewa!! watanielewa tu...
0 Reactions
9 Replies
948 Views
eti jamani wandugu hapa ndo mahali pa kujitambulisha au nimekosea uchochoro???
0 Reactions
6 Replies
987 Views
najitambulisha kama mwanaJF mpya nimefurahi sana kwani nimekuwa nikitamani sana kuwa member.tupige kazi sasa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hodi jamani nzobanga najiunga nayi kwenye mdahalo wa kungangiana mawazo
0 Reactions
4 Replies
642 Views
Nawasalimu wanaJF! Nashukuru kuwa mmoja wa wanaJF...Natumaini tutapeana ushirikiano wa kutosha! HALLO TO ALL JF MEMBERS!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mie Agneth , naombeni mnipokee jamani ile tubadilishane mawazo kwa pamoja.
0 Reactions
6 Replies
671 Views
Sema tu nilikuwa sipost humu, nilikuwa nasoma tuu. Naingiaaaaaaa!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello JF members, i am new here, hope i will learn and enjoy a lot through this forum.
0 Reactions
3 Replies
553 Views
hi frnds naomba mnikaribishe kama hamtojali
0 Reactions
6 Replies
731 Views
Back
Top Bottom