Hali zenu wakuu wanajamvi... kutokana na mambo mengi katika kichwa kimoja cha Charminglady formerly Charminggirl, nimelazimika kubadili ID kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu! Naomba kuzitaja ila...
Hello JamiiForums members.Thanks for vital contribution you are giving daily to this forum, you are important people to we new members.Keep it up
Thanks
my dream is to be thinker or philosopher wa mambo mbalmbal visible and invisible issues,nadhani my journey inaanzia hapa Jf the home of cognitive thinkers,Naomba mnipokee!
Hodi waungwana wote wa hapa JF
Leo nimetia maguu rasmi, kama wanajamii wengine waliotangulia, nami nikileta yale niwezayo kuyaona na kuyachangia kwa upeo wangu na uelewa wangu, pia kwa ushahidi na...