Nawapa big up management ya jamiiforums kwa kazi njema sana ninayo iona hapa pamoja na members wote. Nafurahi kuwa nanyi kwenye jamiiforums. Mungu awabariki.
Wakati ndio sasa'
- Wa kuwang'oa madarakani wale wezi wote wa kodi zetu
- wa kusema hapana kwa CCM
- wa kufanya mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu
- wa kutokupangiwa nini cha kuongea na nini...
Habari wana JF nimeingia Mzenjiberi katika ukumbi wenu. Nimeona niingie kushiriki katika mijadala hasa ya siasa kwa sababu naona mambo mnayojadili yananigusa sana , zipo hoja za msingi lakini zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.