Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenyu wadau
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Hodi wanaJF mimi mgeni wenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi ndan wenyeji,naombeni mnipokee mwenzenu,Love you all JF members.
0 Reactions
8 Replies
918 Views
Hodi jamvini wadau,mgeni naomba kukaribishwa kwa kuchinjiwa kuku na ugali wa nguvu!(joke).
0 Reactions
5 Replies
734 Views
thinkers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Salamu kwa wote.Nafurahi kuwa sehemu ya jamii hii.
0 Reactions
7 Replies
930 Views
hello all member? Im here.
0 Reactions
7 Replies
893 Views
Napenda mtambue uwepo wangu ndani ya jamii hii kubwa yenye watu wenye fikra adilifu na makini.Napiga hodi natumaini nitapokelewa.
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Ninafuraha kuwa mwanaJF na naahidi kuwa msema kweli siku zote. Chuki na majungu kwangu no mwiko. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
0 Reactions
6 Replies
813 Views
hodi hodi :plane::plane:
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Salama wana JF wote, Nafurahi sana kuwa mmoja wa wana JF. Mimi napiga hodi kuwa mwenzenu katika jamii. Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Nshakaribia, asanteniiii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimefirahi kupata nafasi ya kuwa member wa JF. Naombeni ushirikiano wenu wadau. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Mr&Mrs, Bro&Sistas, nawasalimu kila mmoja kwanafasi yake, waislam kwa wa kristo, wadogo kwawakubwa wate nawapenda sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Between 1860 and 1880 a formidable clan rose to power in the Southern Iringa Mufindi region when the head of the Muyinga family, Munyigumba of the Hehe united more than 100 clans into a single...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani mimi ni new member naomba mnikaribishe kwenye uwanja huu wa maarifa mbalimbali.
0 Reactions
8 Replies
855 Views
Heshima mbele wakuu a.k.a Great Thinkers,nafurahi sana kuwa mwana JF kwa kuvutiwa na habari motomoto zinazopatikana humu jamvini,ni mwenzenu na tutakuwa pamoja kunako issues mbalimbali...Asanteni...
0 Reactions
5 Replies
799 Views
Habari zenu wana JAMII FORUM? Mi ni NEW MEMBER naomba mnikalibishe kwenye jukwaa hili la waastaarabu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba mnipokee kwenye jukwaa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom