viva wana jf
jamani mi ni mgeni humu ila nilikua napitaga mara kwa mara na nimefurahishwa sana kuwepo humu kwa kweli mna ushirikiano wa ajabu na mnatoa mafunzo mengi sana.naamini mtanipa na mimi...
Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
Wadau, jf inanipa raha sana na sijui nianzie wapi. Nafurahi kuwa mwanachama, naomba ushirikiano wenu ili niweze kuifaidi vizuri kama nyie wanaharakati wenzangu. Avetar na majina yaliopo humu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.