Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello Ladies & Gentlemen. I hope everything is good,i just want to tell you now that we are in the same boat. NIPOKEENI KWA MIKONO MIWILI AHSANTENI SANA MUNGU WETU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nataraji members wote humu jamvini hamjambo naomba nijumuike nanyi katika ulimwengu huu wa habari
0 Reactions
6 Replies
966 Views
nimehisi nimekosa mawazo mazuri na yenye busara! hivyo nimetambua mchango wenu wa kuielimisha jamii. ninabisha hodi katika safu hii naomba kupokelewa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mambo niaje wadau!!!!!!!
0 Reactions
6 Replies
739 Views
ni kawaida kwa waungwana kusema helow anapomuona mwenzake!ndo mana nami nawapa hi wana jf wote coz niwaungwana!
0 Reactions
7 Replies
745 Views
LAS MAS BOBOS...! Hello JF!
0 Reactions
9 Replies
885 Views
Thanks for administrators for allowing me to meet fellow Great Thinkers at their home. Sasa nami nimepata pakujuzika zaidi kiufahamu maana nilikuwa naishia kusoma tu Hodi hodi hodi hodi hapa...
0 Reactions
6 Replies
916 Views
habari ndugu zangu mm sjambo sana
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Naomba wana jf mnipokee katika mpango huu wa kuelimishana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeamua kuingia rasmi. Kutoka kuwa mgeni kila siku sasa nammi nataka kuwa mwenyeji. Nashukuru moderator kwa kuanza kunikaribisha. Sasa naomba ukaribisho wenu wanaJF. Kuwa guest kila siku kuna...
0 Reactions
7 Replies
767 Views
Am in da house!! hehee my neww post wish tutakuwa pamoja kwa forum ya kijanja na kuelimishana
0 Reactions
11 Replies
983 Views
Nafurahiya xana kujiunga humu asanten sana wadau
0 Reactions
9 Replies
1K Views
am new comer just have to say hie wilb together in zis road..
0 Reactions
7 Replies
742 Views
Ntanguliza shukurani za dhati kwa aliyetengeneza binadamu bila shaka ni mwenyezi mungu na muweza ya yote, Pili na mshukuru aliyempa mwongozo wakupata elimu na kutengeneza chombo kama hiki na mungu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
nikaribisheni basi!
0 Reactions
9 Replies
971 Views
Naja naja,ujio huu sio wa verse moja,nipokeeni!
0 Reactions
9 Replies
972 Views
Mambo wajameni?? me mpya humu napenda kushirikiana na nyie katka kufikiri
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi katika jamvi hili tukufu la uchambuzi yakinifu. Nakula kiapo leo hii kuwa mwanaJamvi muadilifu,na kuchangia mada kwa weledi na heshima kwa wanaJamvi wenzangu. Nitakubali kukosolewa pale...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajamvini hamjambo
0 Reactions
6 Replies
993 Views
hamjambo wapendwa? Siku njema.
0 Reactions
6 Replies
912 Views
Back
Top Bottom