Habari JF,
Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mijadala mbalimbali hapa jamvini na nimeona vema kujiunga pia. Natumai mtanikaribisha. Kama nilivyoona mtiririko wa mijadala, mimi pia...
MIMI ni mtanzania muafrika mweusi si! nataka niwashukuru kwa kuanzisha hii JF imekuwa shule kuu na nataka niseme itaendelea kuwa shule yangu kabla baada ya shule zangu, nilizopitia
Kwa hiyo basi...
Hopefully people here are enjoying the environment,thus y i decided to join the forum,i hope i'll find interesting people n friends to chat n share ideas...........
Nawasalimu wote wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii.
Nimekuja rasmi kwenye forum kutoa mchango wangu kwenye mada anuwai kwa lengo la kuelimishana.