Hodi rasmi, ma bibi na mabwana. Nilichelewa kujitambulisha nilikuwa nakamilisha taratibu za kupata VISA ya kuingia kwenye hii "ndenge" iliyo na kila aina ya "abiria". Hivyo nikuombeni ruhusa ya...
Nimekuwa mwana ccm muda mrefu, ila kwa hakika hakuna jipya ambalo twaweza kulipata toka chama hiki kinachokumbatia ufisadi kama sera yao!
Kwa wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii, jibu ni...
habari wanajamii forums wote mimi ni memba mpya humu naitwa mtoto wa kuku.Dhumuni la kujiunga ni kujaribu kuongeza maarifa upande wangu na kutoa ujuzi wangu kwa jamii naomba ushirikiano wenu.
hi kwa wanajamii forums wote mi ni memba mpya humu naitwa mjuzi wa mambo.lengo la kujiunga humu ni kujaribu kuongeza ujuzi wangu na kutoa ujuzi wangu kwa wengine naomba ushirikiano wenu
nimekua napita humu mara nyingi nikisoma post mbalimbali.nimependa sana wakuu wanavyosema mambo kwa ukwel na undan kabisa.nimelipenda sana jukwaa la ufundi na science.pamoja wakuu!
ei, mi mtumizi mpya wa jamii forums, nimefurahi kuwa"fahamu".. nili"fika" leo tu..
mambo yanayonivutia> siasa, utamaduni, activism, na mambo ya kijamii.. musiki..
kama mgependa kusikiliza musiki...
jamani naomba niwatake radhi kwanza kabla ya yote coz nimeshakuwa humu ndani kama cku ya 5 leö na ckujua kama kuna chumba cha utambulisho pil nhngependa mnikarbrishe kwa mikono miwili na makof ma3...
Ningetamani niwe nimeingia kitambo ila 'kawia ufike' walinena wahenga. Nami najipa moyo kuwa mimi siyo wa mwisho kwani bado watakuja/watajiunga wengine humu baada yangu.
Baada ya hayo sasa naomba...