Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hi greater thinkers,mm ni mgeni humu jf nimeamua kujiunga na wana jf ili niweze kuwakumbusha wamakonde wenzangu kuwa saa ya ukombozi imefika cos tumelala sana na Ccm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imebidi nijisajili baada ya kupitia taarifa mbalimbali kupitia JF. Nimewakubali.
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Habari wana JF
0 Reactions
3 Replies
769 Views
Hodii ndugu zangu ni mgeni sana ndio kwanza ninafika naomba mwongozo nisipotee
0 Reactions
3 Replies
696 Views
Hello wana jamii forum naombeni muongozo wenu kwenye hili jukwaa.
0 Reactions
3 Replies
634 Views
jamani tukaribisheni tu maana wachunguliaji tumeumbuka.
0 Reactions
3 Replies
588 Views
Naomba mnipokee, mi mgeni humu.
0 Reactions
4 Replies
683 Views
Kwahekima zote naomba kuwa ndugu yenu tafathali•
0 Reactions
6 Replies
720 Views
mambooo...jamani mimi am new..who wants to show me around!...:)
0 Reactions
6 Replies
562 Views
Naomba kukaribishwa na mie hatimaye nimefanikiwa kujiunga.
0 Reactions
3 Replies
727 Views
mimi mgeni jamaniii...someone to orient me around here?:scared::scared::scared:
0 Reactions
4 Replies
698 Views
Jamani mnipokee, nimechoka kuwa mgeni humu. Assalam alaykum. Habari zenu. Shikamoo. Mwambaje.
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Hello wanaJF, am happy to be a member of such a biggest community. Nategemea kunufaika kupitia ninyi. Love u all
0 Reactions
4 Replies
750 Views
jamani wenyeji me ni mgeni nimekuja kujumuika nanyi nategemea ushrkiano.!
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Kwa yule ambaye ni mwenyeji zaidi ya woote ndiye naye muulizia! Wenyeji wangu mnamjua!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamii nabisha hodi hapa jamvini. Naomba mnikaribishe niwe mmoja wa wanafamilia.
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Upendo ndio kitu tunachokihitaji moyoni! Amani ndio kitu tunachokihitaji nafsini! Na furaha ndio kitu tunachokihitaji maishani! Haya jamani mi ndo naingia hivyo nikaribisheni basi!
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Jamani wana JF nawaomba mnipokee mi ni mgeni wenu ili tubadilishane mawazo,ujuzi,utendaji na hata ushauri.NAWAPENDA WOTE NAOMBENI USHIRIKIANO WENU NA MOLA AWABARIKI
0 Reactions
1 Replies
646 Views
i hope i will find a good moment here with you guys"
0 Reactions
2 Replies
690 Views
nawasalimu woteeeeeeeeeeeeeeeeeee :A S kiss:
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Back
Top Bottom