Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni.
Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF...
Nianze kwa salam wana ndugu.
Ugeni wangu uwe sababu ya kupata fikra na changamoto mpya na kushirikiana kwa wema na hata ninapoteleza bas na tusamehane.
Nimalizie na ya kwamba tupo pamoja katika...
Habari wana jamiiforum,
Nikiwa member mpya napenda kuwasalimu nyote, nafurahi leo hii kujiunga pamoja nanyi.
Natumai nitaelimika, kunufaika na kufaidika kwa michango yenu mbalimbali kwenye mada...
naitwa erasmy lashau,from kilimanjaro am happy to be here right now,nawasalimu kwa jina la jamii forum na kuelimishana kupeana habari pamoja nakuburudishana kuendelee[emoji56][emoji847]
Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja Tangu nilivyo kua Active kua senior...
Habarini wanaJf.
Naam rasmi naungana nanyi leo katika JF ambapo ni eneo salama na kitovu cha uelewa,naamini hapa ni zaidi ya Chuo Kikuu,Havard University ikasome! Nipokeeni, nileleeni, nikuzeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.