Hod wangwana kwa zaidi ya miaka 2 sasa nimeka mgeni humu jamvini nikiwa kama msomaji.sasa nimeona ni wakati mwafaka kujisajili naomba mnipoke. SHUKRANI ZA PEKEE KWA MODS,MUNGU AWABARIKI
nnakama kaweek iv..nipokeen wenyej..na hngeren kw michango mizur ya maisha kw ujumla..ni mahal pazur huwez kutoka empty,nmechungulia kwa wik..nmenufaika..god bls u
hello members am new here! katika jamii forums kabla sijajiunga nimeweza kuangalia sehem nne, nazo ni jamii intellgnce,jukwaa la siasa,MMU na matangazo na hoja mchanganziko. ila katika sehem zote...
Heshima yenu wakuu...ni matumaini yangu tunaendelea kujenga taifa letu kwa pamoja huku kwa kiasi kikubwa tukisaidiana maumivu haya ya makali ya maisha yanayosababishwa na wachache waliovimbiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.