Naitwa immanuel Mosha, mkazi wa Kilimanjaro kwasasa Niko Dar salaam, ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu, (Bachelor degree in social Work and sociology)
.Nimekua nikifuatilia JF kupitia ukurasa wa...
Natumai kwa neema ya Mungu nyote mu wazima.
Nimekuwa msomaji wa JF kwa miaka 4 sasa bila kujiunga. Leo nimeamua kujiunga ili noweze kuchangia mawazo yangu na uelewa wangu kwenye mada mbalimbali...
Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...
Utambulisho
Habarini wakuu, kama title inavyojieleza hapo juu Mimi naitwa Mr Zed ni Member mpya hapa JF, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai hadi sasa tunapoelekea...
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatul.
Habari ndugu zangu wana jamii forum,Kwa majina naitwa Omary Athumani..ni kijana mpya katika platform hii,ndugu zangu naomba mpitie chapisho langu na...
Habari zenu wana JF wote, mimi ni new member, japo nilikuwa na peruzi bila kujisajiri,
Natumai nitapata mengi ya kujifunza na kuchangia pia pale inapobidi.
Asanteni.
Hodi wadau wa Jamii forums, I hope mko poa, kwa mda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali hapa jf bila kupewa access ya kupost au kuchangia jambo lolote japokuwa nimejiunga jf mda mrefu...
Habari zenu waungwana, Mimi mgeni humu japo sio mgeni sana. Nimekuwa nikisoma na kupitia mijadala mbali mbali lakini suala la kuchangia mijadala mbalimbali ndio limenivuta kufungua ID rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.