hallo wana jf mwana wa kizigua naingia humu jamvini kwa kuja kukibomoa kabisa chama cha magambazz. hivyo cdm naomba tushirikiane.people power forever!!!
Nimevutiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.
watanzania wenzagu naamini kubalisha maisha ya kila siku yatupasa tubadilishe vile tufanyavyo kila siku. Napenda niwe mwanaJamii kama ninyi mlionitangulia. Ukaribisho tafadhali
Wapendwa wanaJF nilipotea kwa miezi kadhaa likini nimerudi. Hii ni kutokana na matatizo ya kiafya yalonikumba. Kwa sasa niko hewani tuendeleze hili jahazi la maisha. Asanteni
Habari zenu jamani!<br />
Ni faraja kujiunga nanyi kuanzia leo.Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara.JF imetokea kuwa eneo la kuainisha changamoto,kuongeza ufahamu,kuchochea kufikiri,udadisi na...
Jama! Hbr ya majira haya! Hakika baada ya kuwa mperuzi kitambo sasa nimeamua kuwa ndani ya WanaJF! Naombeni kampani yenu na sina mengi zaidi ya kuwatakieni kazi njema ktk ujenzi wa Taifa le2 lenye...
Naitwa Yared, nakuja kujiunga nanyi hasa katika harakati za mapambano ya kuliendeleza na kulikomboa taifa letu mikononi mwa wahuni/
Naomba ushirikiano wenu.
Ujio wangu ni sawa na ujio wa dudumiz,nafanya ninachosema,nasema ninachofanya,kama haipandi ingia mitin tumesota sana muda we2 kuhema sema baba safari njema!,nimekuja kufanya mapinduz hapa jf! Hod...
Natamani ningeanza mda mrefu ingawa najua sijachelewa sana kwenye hili jukwaa la wenye hoja zenye ujazo mithili ya uzito wa tatizo la mgao wa giza.
Ni hayo tu,tutakutana zaidi jukwaani... Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.