Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wajumbe wa jamvi,nafurahi kujiunga kwenye jamii hii..naamin elimu na burudan ntapata ya kutosha.ahsanten
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wakuu wangu nyote mlionitagulia, kwa nidhamu zote naomba mwongozo wenu pale mtakapoona nauhutaji/nitakapoomba. I really need your cooperation..................
0 Reactions
7 Replies
836 Views
Waungwana, nabisha hodi nifungulieni! niliingia humu kinyemela! najitambulisha rasmi.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mshiriki mpya katika jamii kubwa hii ambayo ni darasa kuu la wanajamii ktk kuleta ufahamu kwa njia ya kuhabarishana yaliyo bayana na kweli ili kujenga jamii inayojitambua ilipo na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naijua JF muda mrefu japo sikuwa member, matumizi mazuri ya JF, kuelimisha, kuhamasisha, yatasaidia wengi kwa utukufu wa Mungu. Habakuki 2:14.
0 Reactions
7 Replies
914 Views
Nawasabahi na kuomba kukaribishwa pahala hapa wenyeji wangu.
0 Reactions
8 Replies
914 Views
Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
heshima kwenu waledi naombeni namba nicheze tm ya jf hope nimepata
0 Reactions
5 Replies
814 Views
Hii JF..nimekua nikifuatilia JF kwa muda mrefu bila kuwa na akaunt. naomba kuingia kwenye jamii hii ya magreat thinkers....... Binafsi nina tatizo ambalo muda si mrefu nitaliweka jamvini munipe...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
wandugu naomba kuongezeka rasmi kwenye forum yenu... wasifu wangu; napenda mijadala yenye kutumia akili, ila nachukia sana michango ya wanaotumia ri-bu-sa-ma
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam waungwana,sijasita kupiga hodi nakuwajulia hali wenyeji wa mji huu!!naomba kuingia na viatu kujumuika na wakongwe ndani ya familia hii kuubwa!!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamaniiiiii eeeh haba na haba hujaza kibaba na ukifika ugenini sharti ujitambulishe.....mime mwenzenu ndio kama hivyo.....naomba jamaniiii.....mi ni mwanaume haaaaswaaaa tena wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nawashukuru wana jamii forum kwa kunipokea na kunikaribisha. nawatakieni amani!.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Napenda kujiunga nanyi ili napate maujanjaz..!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi JF, naomba kuingia nami nichangie.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
am Yuri G! A new member of jf! Hope i ll hv gud tym and much to learn!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kuwasalimia wana JF wote, mimi ni member mpya naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
0 Reactions
6 Replies
811 Views
Hi every body out there, am a new member of JF, where Great Thinkers make their home. plz accept me.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
hodiiiiiiiii wakuu mi mgeni humu.Jembe lenu naomba kuingia kilingeni.Nimewakubali wakuu.
0 Reactions
8 Replies
874 Views
Back
Top Bottom