Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Tunayomipango ya kuimarisha nchi yetu lakini bado hatuna uhakika na hatua tunazo zichukua.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi all wakongwe na wasio wakongwe wa JF, Nimekuwa nikipitia hii forum kwa muda mrefu sasa. Mwanzoni sikujua ni ya nini hasa, lakin nimekuja kugundua kuwa ni most useful kwani ni njia mojawapo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zanguni? mimi ni mgeni katika forum hii. ninaomba mnikaribishe kwa mikono miwili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi ni mwanajamvi mpya naomba mnipokee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
It z pleasure 4 me to join da jf
0 Reactions
4 Replies
858 Views
MIMI MWENZENU TUWASILIANE KWA E-MAIL YANGY HII abusaadalbusaidi@yahoo.com
0 Reactions
19 Replies
2K Views
I have just registered myself to jamii form .I am kindly requesting for your assistance greet thinkers.Tutakuwa pamoja.
0 Reactions
6 Replies
903 Views
Ninajitambulisha kwenu wadau; Kama jina linavyojieleza, nimeamua kujiunga na JF hivyo naomba ushirikiano wenu. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hodi jamani naomba wenyeji mnikaribishe
0 Reactions
11 Replies
978 Views
Napenda kuungana na JF wote kwenye mageuzi ya kweli ya mawazo
0 Reactions
6 Replies
958 Views
Jamani naingia mtandaoni kwa salaam ya kisonjo, Hapo Ommba! nawasalimia wanaume watu wazima na Nomma! kinamama watu wazima....ndicho cha pili nilicho ambulia kwa babu Samunge, Loliondo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waungwana husalimiana, habari za hapa ndani! Mwenzenu mgeni hapa hvyo nahtaji wenyeji waniongoze, natanguliza shukrani zangu kwenu! Ahsante.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naitwa Zakayo Olle-Shaudo, kutoka Ngorongoro. Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajameni, nimejiungaga na majamii folamu, nipokeyeni! pha pha phaaa!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawasalimu wote na nawapenda wote! Nafurahi kua nanyi kwanye hii Forum.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapendwa wa jf naomba kuingia kama ifuatavyo...............Je, nakaribishwa!
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Mimi ninayejitambulisha hapa ni mwana jamii mgeni.......naomba mnipokee na kuniongoza pale itakapo bidi. Asanteni sana
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hello mnipokee na kunipa shavu wana jf
0 Reactions
6 Replies
819 Views
habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini. Asanteni mungu wabariki wote
0 Reactions
6 Replies
930 Views
Back
Top Bottom