Baada ya kusoma kwa siku kadhaa sasa nimeingia rasmi JF ila uchunguzi wangu umebaini kuwa kuna memba hawaielewi hii forum au kwa makusudi hawataki kuielewa, HESHIMU MAWAZO YA MWENZAKO KOSOA BILA...
Good day wana JF nyoote,
naomba baraka zenu wakati nikijitambulisha kwenu kwa ajili ya kusukuma maendeleo ya taifa letu mbele ndugu zang. Naomba nipokeeni kwa upendo wa bwana.
gawiza bhagalu? thanks
I AM GLAD I AM BACK TO JAMII FORUMS.
HOW ARE YOU DOING ALL?
NASEMA ASANTE SANA KWA JINSI MEMBERS WALIVYONIFANYA NIRUDI JAMII FORUMS KUTOKANA NA MICHANGO YAO SAFI TOFAUTI NA ZAMANI. NIMEFURAHIA...
Mimi ni msomaji mzuri wa post mbalimbali ambazo wana JF wamekuwa wakizichangia na huwa navutiwa sana na michango ya members. Tafadhali naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia kwa manufaa ya...
Nawasalimu all of u, i luv u, i am here to contribute the truth as much as i can, nipokeeni wajameni, i am in hurry, fury, unhappy, angry, with our Nation how is being driven into a big holes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.