Salaam,
wakuu nimejikuta tu tayari nimejisajili humu yani kama chafya tu. Mnipe ushirikiano Mengi mtajifunza kutoka kwangu Mniheshimu nami nitawaheshimu. Ahsante
Hi..!! to everyone I'm a newcomer and I ask for the company. I believe this area is unique to meet unique people for the exchange of ideas that's why I decided to join. I LOVE YOU ALL WISH YOU...
I salute you all kwa mada na michango murua niliyokua nikizisoma nikiwa nje ya JF, now that nimeingia mjengoni i hope to benefit a lot. God bless you all.
Mu hali gani wakubwa?
Ni furaha yangu kujiunga nanyi humu!
Na ugeni wangu huu, nina biashara pia hapa!
Nauza miche ya miti wakuu;
Ninayo miti aina ya
Gilivelia, mifensi ya arusha, sadulela...