Habari zenu wakuu katika jukwaa pendwa la ma-great thinkers la jf naamini mko swalama kulingana na matakwa na kudra za mwenyezi mungu
Kwa majina naitwa #dogo_G mimi ni memba mpya kabisa katika...
Hiki ni kiumbe kigeni kabisa humu... kinahitaji ushirika wa mambo mengi sana... yale ya sirini msiogope kuni PM na yale yanayojadirika natia miguu yote humo... npo single so sihitaji usumbufu...
Hello wana JF, mimi ni member mpya humu nimejiunga karibia week tatu nyuma lkn kulikua na shida ya hii app, ilikua ukisign in unakuta hakuna chochote kinachotokea, leo kama zari imekubali na im so...
3 lý do nên lựa chọn định cư Châu Âu
Việc định cư tại một quốc gia khác đang ngày càng trở nên phổ biến. Và giữa rất nhiều quốc gia với các chương trình định cư đầu tư phong phú, định cư châu Âu...
Ni mgeni lakini sina kamba mguuni....Nipeni kiti nikae japo nitokapo si mbali.....fungueni vyenu vinywa tusalimiane huo ndo uungwana! Shikamooni wakubwa
Being a JF member and intergrating with various people endowed with critical views on various aspects of life it is Awesome. I expect your kind welcome!<br />
Regards,<br />
Habari zenu wadau..!
Kwa heshima na taadhima naomba mnipokee hapa jamvin kama mdau mpya...!
JF ni sehemu nzuri ya kubadilishana mawazo, ujuzi uzoefu katika changamoto zinatotukabili kama jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.