Nimeamua kuingia tu sababu nimegonga hodi sijaitikiwa na mtu..moderater , invisible, jamii forum wote wako kimya.
Nimeingia sebuleni hapa nimekuta soda nimeona niinywe tu hata sijui ni ya nani...
Habari wana jamii forum
Mimi ni new member nilijiunga humu since may 1 ila tu skuweza kutumia vizuri app but now kidogo nna uelewa jinsi ya kulog in, kuanzisha na kujibu threads.
Ningependa...
Nawashukuru kwa kuniruhusu kushiriki nanyi humu. Nimekuwa mgeni fiche kwa miaka mingi, na ni leo nilipopata ujasiri wa kujisajilisha.
Haja yangu haswa ni kuimarisha kiSwahili changu. Huenda...
Jamani iv kuna wanaJF wanaoish hapa Kasulu/KIGOMA? Kam mpo tujitambulishe then cku1 tupange tukutane tufahamiane physically,
Me npo Kasulu eneo la Mlimani...
Karibuni [emoji4]
Wadau naombeni msaada kila niki sign in kwa acount yangu ya kawida inafunguka lakini haionyeshi kitu inaniambia try to use browers na mm natumia sim nili down load kama application sasa inasumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.