Hellow wana JF mu hali gani mimi mgeni jamani napenda sana kufuatilia mada zenu ila leo nimejiunga rasmi ila kuna vitu vinanichanga hasa kwenye hii app ya JF
Đây mới là lý do khiến Síp hấp dẫn nhà đầu tư Quốc tế
Với mức thuế cực thấp, định cư đảo Síp hiện đang là sự lựa chọn hàng đầu với những người có nhu cầu đầu tư định cư Quốc tế.
Xem thêm bài...
Habarini wana jamii forums? Naomba mnikaribishe kwenye forum ya waungwana. Mimi ni mgeni kwa uanachama but ni mwenyeji wa kupitia nyuzi mbalimbali.
Hope nitapata ushirikiano wenu.
Mubarikiwe.
Habari zenu,naulizia kama kuna mwandishi yeyote wa habari aliyefatilia yule mwanafunzi wa DUCE aliyekuwa amefichwa muhimbili atutumie hiyo taarifa.Pia kwa yeyote anayepajua chuo cha DUCE...
Habari za leo wapendwa
mimi ni mgeni naombeni mnipokee kwa mikono miwili
Jinsia mimi ni female
kabila tanzania + india
elimu degree ya PSPA
martial status single
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.