Naitwa Jackson V.K.K Mtaalamu wa maswala ya Biashara na Ujasiliamali,Sayansi na Teknologia Ya maswala ya Kompyuta,Blogger,Vehicles na Mengine mengi..
Tutakuwa pamoja katika kuelimishana zaidi...
Habari wana jf!
Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao..
Mim n bibi wa mwendokasi,
Naomba mnipokee kwa mikono mi2.
Povu...
A,alykum, bwana yesu asifiwe.
Natumain muwazima buheri wa afya!
Jina langu kama linavo jieleza, umri wangu ni miaka 20 naishi MOROGORO m/spaa&wilaya ya mvomero.
Hivo sio vibaya kama...
Mod thread yangu mumeipeleka jukwaa ambalo sina privileged nalo. Thread yangu haiko kichochezi iko simple tu kwa ajili ya maswali kuhusu Mungu. Nawaomba nasi mnirudishie ina ujumbe kwa maswali ya...
Wakuu habari zenu, Mie wakuja hapa ndani kutokea huku panapojuliaka kama mikoani, napenda na kukithamini Kiswahili... Nilikuwa mwenyeji Lakini nimeamua kuwa mwenyeji zaidi. Ushirikiano wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.