Hi everyone there!
I'm 23yrs Tanzanian by residence and nationality. Currently I'm higher education student (MD). I came to realize that, to attain life, we need to use multiple alternatives...
Hello habari za wanajamii
Kwa jina naitwa Blagoveshchensk
Ni mtanzania niishiye Ukraine , Dnipropetrovisk
Mama yangu mchaga Baba m-ukraine
Nimekaa Tanzania miaka 18
Nimesoma Tanganyika...
Kinashangaza sana wanafunzi washeria ambao hupata nafasi za kusoma law school of tanzania hufeli almost 90 percent tatizo ni nini?kama mikopo ya kujikimu wanapewa tena wote waombao,wana jf hebu...
Mimi kwa majina yangu naitwa Abdon Andrew, ni mwanachama jf toka 2012 ila sikuwa 'ACTIVE' sasa ndo nimekuja rasmi, naomba mnipokee ili tulisongeshe hili jamvi letu la JF.
Nafurahi sana kuwa hapa...
Habari wana JF
Mimi ni mgeni humu naomba muongozo
Nategemea ushirikiano kutoka kwenu wote
Nitajitahidi kutoa ushiriano pia inapobidi
Ahsanteni
[emoji847]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.