Habari zenu wakuu,Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Mijadala mbalimbali humu Jf na ikanivutia kuwa member mmojawapo..Natumai mtanipa support yenu ya kutosha pale ambapo nitakuwa...
Kwa wale wanajukwaa pendwa la international forum, Jamii Intelligence na chumbani account yangu imesumbua nasubiria msaada wa moderators kuirudisha but wakishindwa kunirudishia nitakuwa kwenye hii...
naomben msaada tafadhal wana jamvi maelekezo machache namna ya kumfollow mtu namna ya kuedit jina dp namna ya kuchat direct na mtu na mengineyo please.Thanks
Za Joni wakubwa!!!!
Honestly Hakuna kitu nliyotaman kwa MDA mrefu kujiunga kama JF..... nilikuwa mnazi wa kusoma threads mbalimbali za humu nkiwa non-member..... But now I'm an official member...
Habari wana JF Mimi ni mgeni humu leo nimeingia kwa mara ya kwanza nashkuru kwa kua mwanafamily mpya .....pamoja na kushkuru naitaji mchango wa mawazo kwa wafanya kazi wazoefu wa biashara ya UBER...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.