Naitwa Stein Junior, niliingia JF since last year mid 2017. But sikuwahi kujitambulisha wala kupata ukaribisho.
Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa.
hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia...
Nigan JF user
Aisee mm humu nimgeni ndio kwanza nimejiunga !! Nilitaka kulisongesha katika idara za business,Mapenzi, siasa na mambo mengine ya kijamii!!
Naomba ushirikiano na tupeana Raman
Kama...
Kwa heshima na tahadhima napenda kuwasalimu kama ifuatavyo, mliokula chuvi nyingi shikamoni, mliokula chache kwemaa?, Mimi ndionimeingia rasmi ktk hili jukwaa.
Ahsanteni.
Toka nijiunge nna wiki kadhaa cjawah fika huku naishiaga huko kwenye ukumbi wa intelijensia leo ndo nashtuka kumbe kuna utambulisho. [emoji23][emoji23] #DodomaBoy
Inakuwaje jmn? Tuko pamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.