WAkuu sana wanaJF habari yenu. Shamba la ekari moja na nusu linauzwa milioni 30 ila mazungumzo yapo.
MSufini ipo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Ni eneo zuri ssna kwa uwekezaji
Shamba lipo umbali...
Location: Shangani Beach, 30,000 sq meters and 60,000 Sq meters, opposite Avic, 2 km from Kombiji New Port; very good for a container terminal
Legal status: Clean, fully registered with title...
Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake...
Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.
Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.
MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI!
📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye)
🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni
🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road
📐 Ukubwa: Mita 20 × 20
💰 Bei...
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na...
🏡 KIWANJA 3,109 SQM KINAPATIKANA – BARABARA KUU YA MSATA, MAKURUNGE BAGAMOYO
Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa lenye access nzuri ya barabara kuu kwa ajili ya biashara, lodge...
Habari ndugu,
Kwa wale wanaovutiwa kuwekeza katika kilimo, Ndani ya mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe, Tarafa ya Lupembe, nimewaletea mashamba mahususi kwa dhumuni hilo.
Kuna jumla ya ekari 400...
FORODHANI CITY nakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU (1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA,
UKUBWA kwa kila...
Ninauza kiwanja changu
kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514
Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu,
Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti...
Kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MFIPA kwa dharura 6M,kina sq merter za mraba 500+
Hizi ni picha kiwanja kilipo, kuna huduma zote muhimu na tayari kuna makazi ya watu.
Kimepimwa tayari na hakina...
Plot For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary/Ibn Rushdy school.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911.
Price: Tsh 250 Million.
Document: Clean...
Plot For Sale at Masaki.
Location: Msirikale st.
Plot size: Sqft 16788~ Sqm 1559.66
Price: $1.7M. Slightly Negotiable.
Document: Asante Mkapa. 10yrs remains.
For more information or to schedule a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.