Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari,wadau nina kazi nzuri ya pesa ya maana.Nahitaji kuongea na kukutana na mtu ambae anashughulika na kuuza mabodi ya magari. Nitafute kwa 0763969066
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomben mnisaidie balo la viatu vya mtumba grade A nakuendelea linapatikana kwa shingapi Nipo dar es salaam maeneo ya tegeta
1 Reactions
12 Replies
5K Views
0753882631.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX): Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX): Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Updates Zimeshauzwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Habari wakuu Kwa wale wenye matumizi makubwa ya Voice na Data bundles nawaletea huduma Ya Tigo business bundles za Postpaid, ambapo kwa sasa utaweza kujiunga kifurushi kulingana na uwezo wako...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nauza vitalu/PMLs za Madini ya Gypsum kama mchanganuo unavyoonesha hapa chini Minerals Types of minerals : Gypsum Location : Makanga village, kiranjeranje ward, Kilwa district Status...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunauza vyombo vya mitumba 0659153785
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Nauza PC yangu,iko poa kabisa HP 500b micro tower 2048 MB -2gb Hard disk 320gb Bei:150,000 maelewano ruksa Njoo pm.tumalizane fasta
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF nimeuanzisha huu uzi makusudi kujua bei ya vifaa mbalimbali ya ujenzi wa nyumba naomba tuwe tunaweka bei ya vifaa tofautitofauti kusudi wanayojenga kwa awamu wajue pa kuanzia Mod naomba...
1 Reactions
167 Replies
115K Views
Habari wadau, pole na mihangaiko nafikilia kuanzisha biashara ya car wash japo inachangamoto kwani umekuwa nyingi na bei imeshuka ila ntakomaa naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kazi hyo 1...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Advance after market Body kit Blogs coil cover suspensión Volks 18" rims Brembo brakes Turbo time gauge Turbo boost gauge Mashroom aje intake Manual gear box 6 speed Fiber spoiler wing...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wadau, Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari zenu wadau! Kama kichwa kinavyosema, ni kwamba kuna pikipiki inauzwa kwa Tsh 2,300,000 tu. Ina muda wa wiki mbili toka inunuliwe. Napatikana Arusha kama utahitaji ni pm
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Samsung flat Tv inauzwa na wale wale wazee Wa kujidakisha Najidakia store mbezi beach njoo ujipatie Vitu Kwa bei rahisi Tv inchi 50 Kwa million moja na Laki moja tu njoo tuongee 0762612213
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Dear members. I am urgently looking for two candidates to work as quality control chemist in a soft drink manufacturing firm . Qualification: Bsc. Food Science and Technology Fresh graduates...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Njoo agiza nasi sasa bidhaa yako uipendayo kwa bei nafuu kabisa. Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza. MAWASILIANO 0767362849 0676648992...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole Bagamoyo kimeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na kozi mbalimbali za mifugo na kilimo kwa ngazi ya cheti,VETA na Diploma Tunapokea wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…