Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kuna mtu au mahali inauzwa Toyota Carina TI jaman natafuta iwe kwenye hali nzuri!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bei ni milioni 8.8 ( milioni nane na laki nane) maongezi yapo kidogo Gari haijawahi kupata ajali wala kuludiwa langi Full vibali Full A/C Full documents Tairi zote nne ni mpya pamoja na spear...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau, jamani namiliki gari tajwa hapo ( Daihatsu Sportrak aka ROCK yenye engine HD) sasa inasumbua injini shaft, mikono, ring piston e.t.c Nataka kufanya overall kwa hiyo natafuta hizo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi Great Thinkers Kama Bandiko Linavyosema Mwenye Nayo Anijuze Nahitaji Mara Moja Hata Ya Maruti Suzuki Pia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau salaam..natafuta engine ya Land Cruiser Prado complete na gear box yake. 1KZ au 3RZ.Kama kuna mtu anayo pls tuwasiliane kwa namba 0656666666.Asantenii
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta Engine ya Mitsubishi Pajero 4M40 turbo change intercooler, kama unayo tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wana jamvi! natafuta engine ya Toyota dayna (engine 14b) mwenye nayo anitafute 0715805600. my offer ni 5m
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Maelezo: Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala) Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained) Ipo ndani ya fensi Ina maji na Umeme Eneo ni sqm 625 (25*25) Eneo limesharasimishwa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavojieleza naulizia kwenu wadau kama kuna MTU anafahamu Herbicides spesho Kwa ajili ya kuua nyasi Na magugu kwenye pamba anisaidie nimechoka kupalilia Kwa jembe LA mkono...nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Natumai ni wazma ...Jipatie viatu vya kike na vya kiume kwa bei nafuu kwa bei ya sh 12000..karibuni
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nauza kiwanja kipo kisongo Arusha! Km 6 kutoka Arusha airport na 500m kutoka barabara kuu ya Ars-Dodoma -ukubwa 110mx 30m -Bei 25milion Hakina dalali No. 0762436011
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BEI IMESHUKA ZAIDI nyumba inapatikana mtoni kijichi karibu na maghorofa ya jwtz. MAELEZO husika. 1. ina vyumba vinne na vyote ni master bedrooms. 2. ina chumba cha kufulia 3.ina chumba cha...
7 Reactions
75 Replies
13K Views
Wakuu, Natafuta Kiwanja maeneo ya Goba, kisiwe umbali unaozidi kilomita tatu kutoka barabara inayoenda Mbezi Mwisho. Kisipungue ukubwa wa square metre 900, buget yangu ni milioni 15. Madalali...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
  • Closed
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo Dodoma nauza gari langu T 456 BEA, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
habari wakuu natafuta mashine ya kufyatulia matofali nahitaji kujua bei zake ile ya umeme na isiyo ya umeme nahitaji kwa haraka mwenye nazo naomba anijulishe bei tukiafikiana ninunue
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ili biashara yako iwe na muonekano thabiti unahitaji kuwa na akaunti za biashara,wajasiriamali wengi ,wanachanganya biashara zao na maisha yao,akaunti ya biashara hiyo hiyo inatumika kwa mambo...
2 Reactions
0 Replies
688 Views
Wakuu naomben msaada namna ya kulipia tangazo instagram kwa sababu kila navojarib kulipia kwa mpesa mastercard naambiwa mm sio admin wa hiyo account, naombeni ambaye anajua anisaidie
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutana na mafundi bora wa friji,a/c za magari,a/c za majumba pamoja na umeme kazi zetu ni uhakika bila shaka tunafika popote ulipo tuwasiliane kwa namba 0713230547(Haji)au 0717227054(Victor)
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Back
Top Bottom