Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza printer HP DESKJET 2130 Ina uwezo wa ku PRINT, SCAN na COPY Bei ni LAKI MOJA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, naitwa Lisa ni binti nasoma chuo cha TIA mwaka wa pili. Nasafisha masink ya chooni ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu na kurudisha katika upya wake. Mikoani mkinihitaji naweza kuja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za jioni Wakuu.. Tafadhali rejea kichwa tajwa hapo juu. Nyumba nzuri na ya Kisasa inauzwa, iko wilaya ya Sengerema katika mkoa wa Mwanza.. Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master. Sebule...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mwandishi: Peter Munanka Whatsapp Number: +8615928077274 Email:[email protected] [email protected] Sio sili kwamba Wachina wamekuwa wawekezaji(investors) wanaoongoza...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m. Nakiuza kwa mil 5
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bei ni chee kama Zanzibar... RISING 32" INCH...INAPATIKANA DAR... 325,000/- Njoo PM TUZUNGUMZE...WAHI MAPEMA...STOCKS NI CHACHE KWA BEI HII YA OFFER...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ewe mjasiriamali karbu ujinunulie JENGO LA KISASA LA HOTEL ILIYOKO JIJIN TANGA.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Plot/kiwanja chenye ukubwa wa 30×60 (1800 M^2) inauzwa madale karibu na secondary ya mbopo umbali wa elfu 1 kwa bodaboda kutoka balabala ya Madale Tegeta Umeme upo umbali wa mita 120 Gari...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
- kuchonga box speaker mid na bass speaker kwa bei rahisi sana - kufundisha ufundi wa vyombo vya muziki - kutengeneza vyombo vya muziki kama keyboard, mixer, booster, equalizer, crossover, mic nk...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Khabarini ndugu zangu napenda kutangaza nauza eneo langu la shamba heka mmoja upana 70 urefu 70 kigamboni mwasongo...karibuni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni...oryx gas Status..hauna gas kwa sasa Location....mbagala..dar Bei....npe ofa yako Contacts...0684264362
1 Reactions
15 Replies
5K Views
wapi nitapata mtungi wa gasi ya Oryx kwa bei nafuu?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama maada inavyojieleza camera [emoji328] aina ya sony inauzwa kiasi m 2.5 napatikana jiji la Dar
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, ninajishughurisha na kusafisha masinki ya chooni na masink ya kunawia ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu. Napatikana Dar es salaam 0676868660
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ina watts 600 inapga mziki mkubwa sana ni wewe na spika yako tu Bei 65,000 0674 916 716 Dsm, mbezi
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni wapi naweza kuipata
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini GTs, Ninauza kiwanja changu mwenyewe Kigamboni Mwasonga, ukubwa uliotajwa hapo juu kwa Milioni saba (7mil). haipungui, kiwanja kiko bomba sana ni flat land kiasi cha mita 60 kutoka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nyumban inapangishwa Mbezi Lous ina vyumba viwili .kimoja master room ,living room na sitting room.ina get na ukuta.maji yapo .ni sehemu turivu ni cyo mbali kutoka stendi ya mabus mbezi .njia ya...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
PS4 FIFA18. Kama haupo serious usije kabisa maana sio kila mtu anaweza afford PS4.
0 Reactions
1 Replies
780 Views
_Eti ooh...natamani nimiliki Computer...oooh natamani nimiliki TABLET...[emoji847]_ NAFASI ADHWIIM YA KUTEMBEA NA PC mfukoni...[emoji6] PC si PC...SIMU si SIMU...TABLET si TABLET...ina mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom