NATAFUTA MLANGO STARLET WA ABIRIA KUSHOTO NYUMA
Kama kichwa cha habari kilivyo ,natafuta mlango wa kushoto wa nyuma haraka sana,
Tafadhali kwa yeyote aliyenao...
NJOO KIMOMWE MOTORS MAGOMENI MAPIPA DSM KWA HUDUMA YA UAGIZAJI MAGARI KUTOKA JAPANI, DUBAI, SINGAPORE NA UK.
TUPO MAGOMENI MAPIPA MKABALA NA KITUO CHA MWENDOKASI
SIMU # 0714349142/0762178477
KARIBU KIMOMWE MOTORS UAGIZE GARI KUTOKA JAPANI, DUBAI, SINGAPORE NA UK, TUPO MAGOMENI MAPIPA DSM, MAGARI AINA ZOTE TUNAAGIZA.
SIMU NAMBA # 0714349142/ 0762178477
Waungwana katika jukwaa hili, mimi ni muuzaji wa mashati ya kiume (mikono mirefu na mifupi), tshirts (golf collar,chinese collar, form six, body v collar), na cadets za kuvutika rangi zote kwa bei...
SAMSUNG
LG
TCL
STARX
BOSS
SHARP
TOSHIBA
NB. Ukinunua TV utapata WALL BLAKET na HDMI CABLE bure pamoja na kuletewa hadi ulipo BURE popote kwa TANZANIA. [emoji91]
Pia tuna page yetu Instagram kwa...
Fridge inauzwa haina tatizo lolote
Ni frijii aina hot point
Ipo arusha
Bei 550k (mazungumzo yapo)
Kwa maelezo zaidi
Au piga simu namba 0753 315 521
Kaibuni
Habari wakuu,
Natafuta kiwanja Goba, ukubwa ni sqm 900 na bajeti yangu ni milioni 15.
Mwenye kiwanja aseme aweke wazi kipo Goba ipi pia na ukubwa wa kiwanja.
Habari za muda huu wapendwa napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika...
Habari,
Nauza monitor speaker kwa matumizi studioa used miezi miwili tu zinaonekana kama mpya
M AUDIO BX 8 ni 750,000
M AUDIO BX 5 ni 450,000
mixer Ndogo 200,000
Kwa mawasiliano zaidi 0658 64...
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea
Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; screen
size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet...
Habari,
Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Ni kitambaa cha sofa ndio kimechanika na nahitaji kubadilisha.
Napatikana Boko
Ahsante