kama kuna mtu anafahamu wanapouza power tiller hapa tanzania naomba anijuze na bei yeke pia kwa mwaka huu 2019 nataka kununua kwa ajili ya kilimo
nawasilisha
Habari,
nauza vifaa vya srudio kama vile:
M AUDIO BX8 = 750,000
M AUDIO BX5 = 450,000
PORTABLE MIXER 200,000
MIC KUANZIA 250,000 MPAKA 900,000
iMAC DUO2 RAM 4GB HDD 500 = 450,000
Kwa...
website inauzwa pamoja na youtube, social networks adsense na google application yake iliyounganishwa na admob..
price 600,000 maelewano yapo.
http://bit.ly/JamiiForumz
Wiki kadhaa zilizopita niliwasilisha thread hii hapa 👇.
https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-jamaa-ni-waukweli-au-wapigaji.1595188/
MREJESHO:
Jamaa wamekuwa waaminifu nimepokea parcel...
Habari wakuu, nauza incubator yangu ya mayai 300 imetumika miezi minne.
Incubator ni automatic, inatumia umeme, made in China.
Iko vizuri sana,sababu ya kuuza ; nimefunga mradi wa kuku chotara...
Ni printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina...
Kwa mtu mwenye kuhitaji Berti ya Laptop model zifuatazo awasiliane nami nimuagizie kutoka nje na kuzipata ndani ya siku 4 tu
Dell 1520/1525/1545 (75$),
Dell D610/D620/D630 (70$),
Dell 6400/1505...
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.