Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta dada wa kazi za ndani awe mtu wa dar es salaam Nitafute kwa namba : 0656831415/0687131423
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa, ina sifa zifuatazo 1-ina vyumba vinne. 2-ina choo cha ndani na nje. 3-ina jiko la ndani 4-ina stoo 5-bafu la ndani 6-sebule nzuri sana ya kuvutia 7-sehemu ya...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Wakuu salama? Ama baada ya salamu, ningependa kwenda moja kwa moja katika mada husika. Nina laptop nimeinunua march this year as refublished, naiuza na haina tatizo lolote, ni kua nimepata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mic kwa ajili ya vocal zinapatikana hapa. Update nimeondoa mawasiliano. Kwa sasa bidhaa haipatikan Call now upate yako
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habar kilivyo. Mwenye mpya na viambata vyake. Box tu ndo si muhim. Bei iwe ya kuuza na si kunitaarifu kuwa unayo sim hiyo. Iwe dar.
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Tunatoa huduma ya kutangaza matangazo ya biashara na brand mtandaoni ambapo tuna aina 2 za kutangaza. - Human factor na Machine Factor Ukitumia human factor hii ni huduma inayojumuisha matumizi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY NK CONTACT - 0753120120 WEB : www.bestunlocksolution.com VODAFONE V875, V785, VF685 SIMU 10 ZA MWANZO BURE...
4 Reactions
216 Replies
24K Views
Kwayeyote anisaidie kupata handsome up pump! inahitajika tafadhari! karibuni DM
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari waheshimiwa nina non hosted account ya adsense inauzwa na ishapata barua price ni 100000 maongezi yapo njoo pm tubonge nipo dsm km ukitaka tuonane face to face tufanye busness flesh tu
1 Reactions
2 Replies
665 Views
Kwa yoyoteanaejua wapi naweza kupata yale magazeti ya kiarabu au yale meupe ambayo hayana maandishi naomba anijulishe.. Nayahitaji kwa wingi sana,huwa yanafungwa kwa kilo 15-20 kwa kila bando moja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta mtu anayeweza kuandika vizuri kwa mkono, Mwenye utayari karibu inbox. Malipo yapo. Deadline 20th July 2019
1 Reactions
3 Replies
939 Views
Habari, Naomba nikusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana. Andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba: 1. Leseni ya biashara 2. TIN no. 3...
2 Reactions
26 Replies
9K Views
specifications zake. • camera rear 8megapixel front camera 13megapixel • RAM 2GB internal storage 16GB •Battery 72hrs •selling price 90k (ni fixed price) location dodoma mjini. NB: hii simu...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
[emoji654]️OFISI IPO MAGOMENI MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI [emoji654]️WARRANTY MWAKA 1 [emoji654]️INA RADIO, BLUETOOTH, AUX INPUT, USB PORT, MEMORY...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Uzi huu unaandikwa na kijana msomi , mtaamu wa masuala ya umwagiliaji kutoka chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA) Faida za umwagiliaji kwa njia ya matone 1. Matumizi kidogo ya maji , kila...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu Nataka kuanza miliki gari, nataka Toyota Ist na Toyota wish, ambazo zipo ktk hali nzuri kati ya gari hizo mbili mojawapo nikipata iliyo vizur tutafanya biashara. Pesa yangu ni M 7. Nb...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Zinapatikana spare parts Toyota Starlet. Bei ni poa kabisa, Parts zipo Dodoma, mikoani zitatumwa. Njoo PM
0 Reactions
0 Replies
571 Views
natafuta laptop iliyopo kwenye condition nzuri Ram kuanzia mbili Internal 250 Gb
0 Reactions
6 Replies
791 Views
Habarini wanaJF, Nahitaji mabati yaloyotumika, yawe Dodoma hasa mjini. Mwenye nayo PM tafadhali
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom