Faida za umwagiliaji kwa njia ya matone

Faida za umwagiliaji kwa njia ya matone

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
233
Reaction score
418
Uzi huu unaandikwa na kijana msomi , mtaamu wa masuala ya umwagiliaji kutoka chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA)

Faida za umwagiliaji kwa njia ya matone
82e2ca8e37f2fd22c0d4567e5b862599.jpg


1. Matumizi kidogo ya maji , kila kukicha maji yanakuwa ni shida kwa hyo ni vzr kutumia maji kidogo lakn uzalishaji uwe mkubwa
2. Hupunguza gharama , umwagiliaji huu hupunguza gharama za wafanyakazi ukilinganisha na umwagiliaji mwingne kwani mtu mmoja anaweza kumwagilia hekar hata tano peke yake
3. Huongeza uzalishaji , mimea ikipata maji inavyotakiwa hukua vzr na kuwa na uzalishaji mzr, mfumo huu una ufanisi mkubwa kuhakikisha mimea inapata maji shahiki na kwa wakati
4b6e6c6cd34bc7b5c989720389a1f692.jpg
6aa5f97a1c85bcd2b7e7e808432d3ea4.jpg

Nikiwa katika shughuli zangu dodoma
4. Mfumo huu hutumika kwa mazao karibia yote kuendana na namna mtaalam anavyokuelekeza
Mboga,nyanya, Kitunguu, papai,miembe,chugwa, Parachichi, mahindi, strawberry n.k

Kwa mahitaji ya vifaa, ufundi, usanifu wasiliana na wataalamu makini wakuhudumie

Octavian Lasway
+255763347985/673000103
 
Naomba mchanganuo wa gharama zote kwa heka moja
 
Back
Top Bottom