Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari za mihangaiko. Naomba kujuzwa bei ya container tupu la futi 20 kwa Dodoma mjini. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuu zile adapter kwa ajili ya kucheki DSTV bure zimewasili kutoka China jana. Nimezitest zipo powa. NB: Hizi ni mpya sio zile za hawk wala sio zile za dongle zinohitaji dishes 2......hazina...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wadau, naomba mnielekeze sehem au duka wanapouza table tennis na vifaa vyake vyote kwa Dar es Salaam.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua mahali nitakapopata scree ya pc
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Namba DEE Mwaka 2003 Engine size ni cc 1,490 Ipo kwny hali nzuri, inatembea, tairi mpya radio, seat cover n.k Bima mpya Engine kavu, Imetunzwa sana! Location: Udsm/Ubungo Call/WhasApp 0764875468...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Karibuni wapendwa Upate Dagaa fresh kutoka Mwanza PM iko wazi kwa yeyote anayehitaji Tunapatikana ARUSHA.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
..
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Na hitaji kujua Ndizi Mzuzu zinapatikana mkoa gani kwa wingi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sold!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Fundi makabati Nione kwa namba 0718888212 0625577106.
5 Reactions
18 Replies
12K Views
32GB Storage Full HD 4K Camera and display 4G internet Speed . Fingerprint security Sensors za kupima heart rates na physical exercises Battery life 1 Day Haina scratch yoyote If interested...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
TANGAZO Chuo cha kilimo na mifugo Kaole kilichopo Bagamoyo-Pwani chenye usajili REG/STA/021 kinapokea maombi kwa mwaka wa masomo 2019/2020 Chuo kinatoa kozi za kilimo na mifugo kwa ngazi ya...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Vijana wanaoweza kufanya kazi mtandaoni kuandika makala wanahitajika, unatakiwa kuwa na smartphone au kompyuta kimoja kati ya hivyo kinatosha, Kama upo tayari mcheki huyu whatsapp 0620827531 Hiyo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za leo wadau kwaanayeitaji mahindi kwaajili ya kusaga unga au chakula cha kuku naomba tuwasiliane kwa namba 0767202501 au 0712202501 au 0686202502 mahindi yapo songea.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza camera Nikon D50 pamoja na memory card,Camera ipo katika hali nzuri ,Bei Tsh 600000.00 .Piga simu 0712652110 Dar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bei Tsh. 250,000/= Contact 0659734925 Dar es salaam
0 Reactions
2 Replies
832 Views
habari za asabuhi wana jf nahitaji nyumba ya kupanga iwe na chumba 1 cha kulala sebule jiko na choo cha kujitegemea BAJETI YANGU NI 100000
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Habari za asubuhi wadau, naomba mnielekeze sehem au duka wanapouza table tennis na vifaa vyake vyote kwa Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Huu ni mlango original kabisa upo ndani ya box lake una mota ya kuzunguka unapotaka kufunga na kufungua kwa kutumia umeme ni mlango wa kisasa kabisa Pia unapatiwa na fundi wa kukufungia kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wadau, Sisi ni Wataalam wazoefu wa shamba ambao tumejikita kwenye kilimo upande wa horticulture. Tunawasapoti wakulima wadogo na wakubwa kwa kutoa huduma ya consultation kwenye mashamba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…