chumbu, sebule na jiko VINAHITAJIKA VIWE GONGONGO LA MBOTO

chumbu, sebule na jiko VINAHITAJIKA VIWE GONGONGO LA MBOTO

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
habari za asabuhi wana jf nahitaji nyumba ya kupanga iwe na
chumba 1 cha kulala
sebule
jiko
na choo cha kujitegemea
BAJETI YANGU NI 100000
 
habari za asabuhi wana jf nahitaji nyumba ya kupanga iwe na
chumba 1 cha kulala
sebule
jiko
na choo cha kujitegemea
BAJETI YANGU NI 100000
Chumbu = Chumba
Gongongo la mboto = Gongo la mboto.
Najua unakimbizana na kodi ya mwezi mmoja kwa dalali, kila lakheri lkn siku nyingine kuwa na utulivu.
 
Back
Top Bottom