Habari za muda huu wananzengo nakuja kwenu muda huu nikiwa na uhitaji wa pumba ya mahindi
Sifa za pumba
1= iwe imekauka yaani iwe kavu kabisa
2= iwe na chakula cha kutosha
3= iwe nyeupe isiwe...
Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji...
Wadau,
Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa nyama mkubwa kuku 1000 mpaka 5000.
Natafuta sehemu ya kukodi kwaajiri ya kufugia, iwe na mabanda au nyumba nayoweza kujenga mabanda. nitapendelea zaidi...
Jipatie furnitures za ndani kama makabati ya kisasa ya vyombo, makabati ya kisasa ya nguo, vitanda vya kisasa , tv showcase nk nichek kwa namba 0672727316, tunapatikana kigamboni jijini Dar es...
Ninakodisha nyumba ya kukaa ya vyumba viwili,dining,sitting room na servant quarters yenye vyumba viwili nje na mabanda ya Kuku kwa kodi ya 650,000/-kwa mwezi kodi napokea kwanzia miezi 6 au...
Mahali lipo: Kishili Bukaga
Kiwanja : Kimepimwa upimaji Shilikishi
Ukubwa Wa eneo Ni 40 * 35 m
Boma: Lina vyumba vitatu, viwili Master, sebure, Jiko, dining, store, public toilet
Materials...
Hello jf jitahidini kuwapa ndugu zenu au mtu yeyote. Hii fursa ni nzuri sana...ni kama ajira ya moja kwa moja. Israel wako vizuri sana katika kilimo. Nitafurahi kama kati yetu humu jamvini atapata...
Habari nyote,
Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu,tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa...
Nahitaji MacBook Yenye specification zifuatazo
£ RAM not below 4GB
£ HDD not below 320GB
£ processor i5 or i7
£ batteries retain power more than 4 hours when in use.
£ Display Size any
£ It...
Ni wauzaji maarufu wa handbags [emoji162] za kisasa,viatu vya jinsia na rika zote,wallets,Nguo za jinsia na rika zote,Saa za jinsia na rika zote na vitu mbalimbali kwa Bei nafuu.Tunapatikana...
Competitive Intelligence ni kitendo cha kampuni kukusanya (gathering) na kuzifanyia kazi (analysis) taarifa za kisoko kwa lengo la kufanya maamuzi ya kimkakati (Strategic Decisions Making)...
Habarini wanajamvi kwa yeyote mmiliki wa canters kuanzia tani 2 na kuendelea naomba aniwhatsaap 0744043886 kampuni yetu inataka kumi (10) kwaajili ya distribution ya products zake Dar es...