Wadau Nahitaji PlayStation 2 haraka hata yenye pad moja,imechipiwa na ina flash.Kifupi Wezi wamenivunjia na kuniibia ofisini Kwangu Unaweza kunicheki DM au 0787249021 Napatikana tabata segerea.
Hbr wana JF,
Ninauza Photocopy mashine mpya ikiwa kwenye box lake.
Bei ni 1,750,000 tu( Milioni moja laki saba na nusu tu), nina shida ya kifedha ya haraka. Mashine ipo Mwanza, kwa aliye...
Nauza Playstation 3 yangu
Price: 250,000/= FIXED
Inakuja na games, ndani yake kuna PES 2018, FIFA 18, Mortal Kombat, NFS, GTA 5
Comes with 2 Gaming Pads
Unapata the game,the pads na power cable...
Grand home theatre Sony only 2'500'000/=
Furniture coaches and stools price negotiable.
Mashine ni mpya na iko kwenye hali nzuri. Usipoteze na fursa hii.
Call 0715886772, 0767886772, 0735886772
NYUMBA INAUZWA
STRUCTURE
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-jiko
-public toilet
-parking kubwa
DOCUMENTS
Eneo limepimwa lina hati miliki(title deed)
LOCATION...
Ipo Tegeta IPTL nyumba ni ya pili kutoka lami
Ni ghorofa moja lenye apartment 2 juu na chini
Kila moja ina vyumba 2 vyote self,jiko nk
Na zote zina wapangaji amba kila moja kodi kwa mwezi ni...
Wanajamvi naomba kujuzwa ni utaratibu upi wa kisheria mnunuzi wa gari unaufata unaponunua gari kwa mtu. Mfano ni nyaraka zipi unatakiwa upewe na mwenye gari au nyaraka zip unapeleka TRA kibadili...
Karibu katika darasa la kujifunza kutengeneza Mifuko mbadala
Tunafundisha kupitia online videos, na voice note
Pia tunatoa kozi mubashara (live) kwa watakao weza kufika ofisini kwetu tupo Dodoma...
Aya wenzangu na mimi ni msimu kwa msimu hongera wote mlomaliza mfungo salama hku kwetu pia tumesherekea vzuri
Sasa n msimu mpya wa senene kwa wale wanaohitaj senene kwa matumizi yao binafsi Au...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji pumba ya mahindi
Sif za pumba
[emoji666]iwe pumba kavu
[emoji666]iwe na chakula
[emoji666]iwe nyeupe
Isiwe brown kama una pumba ya aina hiyo karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.