Kuanzia tarehe 25 Apr 2019
nategemea kuanza kuvuna alizeti aina ya KENYA FEZA zaidi ya hekari 20 na mbegu za kienyeji zaid ya hekari 20 pia.Makadirio na kupata alizet aina ya kenya feza gunia 200...
Mimi nina platform yangu nimeitayarisha kitaalam na inaweza kutoa huduma nzuri tu kwa ateja mbalimbali waliopo nchini Tanzania.
Kutokana na sheria mbalimbali za kuhusu watu wenye blog, websites...
[emoji95]FURSA FURSA[emoji95]
Karibuni katika fursa kupitia kampuni ya ELNET AFRICA,iliyoanzishwa nchini Tanzania.
ambapo imeandaa mfumo ambao humuwezesha mjasiriamali kuongeza kipato au mtaji...
Je! Ungependa kujiunga nasi kwenye LIKIZO ndani ya meli kubwa ya kifari ya "FREEDOM OF SEAS" mwakani?
Safari itakupatia Fursa ya kutembelea miji 3 mashuhuri duniani...Tutaanzia Barecelona, SPAIN...
Habari wakuu?
Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar?
1. Casio illuminator W-96H
2. Casio Telememo illuminator AW-81
Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna...
Okoa muda, okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminet
BUSIMINET COMPANY LIMITED
S.L.P 12659
Simu: +2557 65 90 10 93 / +255782191905
[email protected]...
Kwa wasiokuwa na uelewa mzuri wa aina za mchele, kuna aina kuu mbili za mchele yaani mchele unaotokana na mpunga unaochukua miezi 3, na ambao unachukua miezi 6 toka kupanda hadi kukomaa.
Mchele...
Hizi ni paper bags to use instead of plastic bags kwa wafanyabiashara wote katika utoaji huduma kwa wateja.mifuko hii ni imara kabsa kama inavoonekana kwnye picha.Tunafanya delivery popote ulipo...
Kampuni ya masuala ya engineering katika upande wa umeme na mechanics inauzwa
Sifa za kampuni
1. Imesajiliwa mwaka 2008 na kuanza rasmi kazi zake mwaka 2010 baada ya kupata usajili CRB
2. Ina...
Kuna viwanja (Surveyed Plots) zinauzwa Tshs. 13,500.00 kwa meta moja ya mraba ( TZS 13,500.00 per squaremeter). Viwanja hivi vipo 6 km kabla ya kuingia Bagamoyo mjini ukitokea Dar esSalaam, upande...
Wakuu habari za majukumu, nahitaji mashine ya kukamua juisi ya miwa ya umeme yenye "roller" 3 au zaidi. Motor yake isiwe chini ya 1HP, muundo ninaotaka uwe sawa na huu kwenye picha niliyoweka...
HP Probook 640 G1
IN NEW CONDITION
Specifications
Core i5 (4th Gen) 2.6Ghz
HDD; 500GB
RAM; 4GB (Can be upgraded upto 16GB)
Dedicated Graphics Card; Intel HD 2GB
Comes with an adaptive displays...
•Orginal AKG earphones for sale tsh30000
•Orginal iphone 7——iphone X tsh 55000
•Orginal iphone 6 earphone tsh 40000
•
•Buy one get one free Protector
Call/whatsapp 0654770800
Loc;DSM,kinondoni...
•High Quality Airpods avalailable kwa Price ya Tsh 270000
•Siri Function
•sense as accept and hanging call
•sense as in playing/pause Music
—————
•No find my airpods function
•no change name...
Karibuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.