Wakuu natafuta exhaust system ya Honda CR-V 1998 ikiwa complete, front, centre and Rear muffler pamoja na catalyst converter yake, anayeweza nielekeza pa kuipata hata kwa contacts nitashukuru sana.
Wanajamvi naombeni ushauri namna ya kupata viroba vitakavyokuwa na nembo yangu kwa ajili ya kupack unga wa sembe. Nimejaribu kuwasiliana na baadhi ya makampuni wanataka minimum oreder ya 2m, na...
Dear our customers,
Greetings from Garnite Company Limited.
Kindly be informed that we are currently clearing our old stock for new arrivals:
1.Toyota Harrier (2 units)
- Production Year - 2003
-...
Korosho kilo moja ni 24,000/=
Asali ya nyuki wakubwa mbichi ni 15,000/=
Asali ya nyuki wadogo mbichi ni 40,000/=
Juisi ya asali ya nyuki wadogo iliyochanganywa na virutubisho kama saba pamoja na...
Naitwa JUMANNE MWITA mwenyeji wa KAHAMA kwa sasa niko BUKOBA.
Habari za majukumu, kwa jina naitwa Jumanne & Mwita mkazi wa kahama kwa sasa niko Bukoba
Niko huku Bukoba kwa sababu maarumu ambayo...
Dear our customers,
Greetings from Garnite Company Limited.
Kindly be informed that we are currently clearing our old stock for new arrivals:
1.Toyota Harrier (2 units)
- Production Year - 2003
-...
Msaada kwa anaejua duka maarufu Dar es Salaam ambalo ni special kwa ajili ya kuuza pembejeo za kilimo na ujasiliamali tafadharini ndugu zangu anipe mawasiliano yao hapa!
Eneo la ukubwa wa Ekari 1 DAKIKA 10 kutoka main road (NYERERE RD) nyuma / karibu kabisa na moshi bar linauzwa Tsh. 150,000,000/= bei maelewano (NEGOTIABLE). Eneo lina NYUMBA YA VYUMBA VITATU, eneo...
Habari humu, nauza mashine ya tofali za block, bei ni 2.2m mpyaa kabisa, inatoa tofali mbili za inch tano na inatumia umeme so ipo na motor yake. Anayehitaji tunaweza zungumza.
Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo Dodoma eneo la Mlimwa “c” wengine wanapenda kupaita kwa Waziri mkuu
Kimejengewa kabisa na msingi.
Bei ni nafuu sana.
Kama utakuwa interested wasiliana nasi...
Hello,
I am an expert on the application of GIS and Remote Sensing in Land Use, especially for Agricultural Production in Urban and Rural areas. I hold MSc. Natural Resource Assessment and...