incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Msaada kwa anaejua duka maarufu Dar es Salaam ambalo ni special kwa ajili ya kuuza pembejeo za kilimo na ujasiliamali tafadharini ndugu zangu anipe mawasiliano yao hapa!
Siku. Hizi jamii forum si jukwaa la kusaidiana ila limebaki jukwaa la wahuni na wapenda umbea tuDuuu wadau wamekula kimya tu