Wale waliokuwa wanatafuta King'amuzi cha star times cha Antenna (full antenna ya Miba na king'amuzi) hicho hapo sasa..
Free local channels.
Weka offer yako ili nikufikishie popote free kwa walio...
A Salam wakuu poleni Na swaumu
Km kichwa kinavyojieleza naombeni kabati la mbao la Nguo na Fridge mlango mmoja Ziwe in good condition kwny kabati hapo hata ikiwa mchina tunaweza kuzungumza vzr...
Mifugo Tz inawashukuru sana SUGECO kwa kuratibu mafunzo ya kwa #vijana yalio fadhiliwa na FAO(Food and Agriculture Organization)
Tunawashukuru kwa kutambua uwepo wetu Mifugo Tz na kutupa dhamana...
Ram - 4GB
Internal - 64Gb
Battery- 4000 MAH
fingerprint and Face unlock-yes
Used approximately - 3 months
Price starting 400k negotiable (No exchange deal)
Condition - excellent
interested...
KWA WALE WOTE AMBAO WANGEPENDA KUHUDHURIA MAFUNZO YA FOREX DODOMA TAFADHALI THIBITISHA USHIRIKI WAKO KUFIKIA TAREHE 22.05.2018 SAA 4 ASUBUHI.
MAFUNZO YATAFANYIKA NASHERA HOTEL- DODOMA ,TAREHE...
Fremu za Biashara Mjn/mtaani (1500000-35000000)
Nyumba/chumba cha kuishi
Viwanja vilivyopimwa 1500000+
NB
Weka sifa za Nyumba unayotaka,eneo tutakuonyesha bure (utatumiwa picha what's up)...
Habari naomba nikusaidie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo ni rahisi sana andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba Leseni ya biashara ,2. TIN no 3...
Habari wakuu!
Nahitaji simu yenye hali nzuri sana yenye specs hizi:
1. RAM walau kuanzia 4GB lkn ukiwa na 6GB au zaidi itafaa zaidi
2. Internal Memory walau 64GB
3. Kukaa na chaji walau masaa 6
4...
Details:
Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya...
Kwa muhitaji wa laini za uwakala nauza
Tigo pesa: 130,000
Airtel Money: 100,000
Laini zilikuwa zinafanyia kazi Morogoro Mjini ila mhusika ameacha hiyo biashara ya fedha sasa anaziuza laini hizo 2...
Husika na kichwa cha habar, natafuta fremu bajeti yangu 200k-250k per month!
Maeneo ya mbezi mwisho.. Mpaka ubungo..
Makumbusho au Riverside mpaka external