Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Uyoga fresh unapatikana kwa bei ya 10,000 kwa kilo na unaletewa popote ulipo kwa Dar. Faida za uyoga mwilini. 1. Uyoga ni chanzo kikubwa cha vitamin C, D na Potassium. 2. Uyoga unaondoa hatari...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Je unahitaji kudumisha Usalama wako na Mali zako kwa bei nafuu? Njoo tukufungue Cctv cameras na Alarm systems kwa bei ya ofa kabisa! [emoji736]Nunua vifaa vyako sisi Tunakufungia kwa gharama ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BEI ISIZIDI 900,000/= BEI YA USHINDANI ITACHAGULIWA. TUMA PICHA WHATSAPP 0625492720.
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Wapendwa natafta soko la mchele wa kutoka tabora...mwenye kuhitaj kwa bei ya jumla ni 1350,kama kuna mtu anaemjua tajir yoyote anaeweza nunua asisite niunganisha 0710925731
1 Reactions
2 Replies
1K Views
* Car For Sale* * 2007 Toyota Rav4* * 5 Seater,179 530 Kms ,fully Servised and well looked after, new tyres.*This vehicle is very clean inside looks like new .asking price is 14.5 milion ,must...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wapi wakuu ntapata simu za nokia za touch screen hapa dar .Maana kila duka kariakoo ni tecno zimetawala moja ya feature inayonivutia kwenye nokia ni quality ya picha.Msaada twafadhali.Pia kingine...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wadau! Natafta chumba na sebure maeneo ya Ubungo au mabibo, Kama unajua kilipo tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu link/website inayowaunganisha wanunuzi na wauzaji wa mazao ya kilimo duniani. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, gari aina ya Raum namba T567DPV inauzwa shillingi millioni 9 na laki nane. Gari ipo Kitunda Dar es salaam. Gari haijawahi kupata ajari wala haijawahi kurudiwa kupakwa rangi wala...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibu nikuuzie Sold state Disk SSD 256GB. Goes for tsh. 150,000/=. Condition: brand new. Contact:- +255714978668 / +255764062505 Njooo nikuuzie.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu natafuta Bamba la mbele la Toyota Allion na bei yake .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
e-pharmacy ni mfumo wa komputa dukani kwako utakaounganishwa na aplikesheni ya simu yako kupata ripoti ya mauzu ya siku, wiki hata mwezi, ukiwa popote pale. Utaweza kuhifadhi taarifa za duka lako...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nina offer ya 7ml natafuta Gari. Spacio/rush/Noah/rav4/xtrail moja wapo kati ya aina hizo
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Waungwana mashine ya selcom inauzwa bei ni maelewano na ipi katika hali nzuri. Ina adapter yake pamoja na mkataba wa manunuzi. Aliye tayari anicheki kwa namba 0719 585236
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta mtu anayeuza strawberry yenye quality nzuri kwa jumla kutoka Iringa na anaweza kusafirisha Dar Es salaam.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana group. nahitajia tray za mayai za karatasi (sio plastic) 5000. nipo dar 0654567777
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kufahamishwa sehemu wanapouza caustic soda ya kilo 20/25 kg kwa hapa Dar. Nitashukuru kwa msaada
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Karibuni kwa huduma zangu za printing, natengeneza kadi za sherehe mbalimbali, keki, na kupamba kwenye sherehe mbalimbali, pia kwa huduma za kuprintiwa tshirts, caps, mug, magazine...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
habari za leo. kiwanja kinapatikana buyuni upande ambao kuna kituo cha mafuta cha Sheratoni Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1,000 ambayo ni 20m upana na 50m urefu. Eneo bado halijapimwa Bei ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom